Nd’o Vijimambo

Iwe ni kipindi cha lala salama,
Wakenya hatuko salama,
Waumiao haswaa ni wamama,
Waliofiwa na mabwana Kalama.

Tupo na uchungu
Bali siye ni malimwengu,
Kifo hunipokonya changu,
Leo kalala wanetu wa tangu.

Kifo hini haina hodi
wala hata hailipi kodi,
Jana kalaza hamsini bodi,
Poleni waliopoteza dadi.

Advertisements

Its a pleasure reading your leave-in

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s